Advent Hymnals
213. NIWE NAO UZURI WA MWOKOZI
Nyimbo Za Kristo,
1
Niwe nao uzuri wa Mwokozi,
Nazo huruma Zake na usafi,
Roho Mtakatifu anibadilishe,
Aonekane Yesu ndani yangu.
- Title Niwe Nao Uzuri Wa Mwokozi Key Titles undefined First Line Niwe nao uzuri wa Mwokozi, Author Year Composer Hymnal - Tune Metrical pattern # Stanzas Chorus Chorus Type Subjects Texts Print Texts Scripture Song