Advent Hymnals

209. NAKUPENDA SANA KUFIKA

Nyimbo Za Kristo,


1
Napenda sana kufika, skuli ya Sabato 
Napenda sana kufika, skuli ya Sabato

2
Napenda sana kuimba, habari za Yesu, 
Napenda sana kuimba, siku ya Sabato

3
Napenda sana kutoa, sadaka kwa Yesu, 
Napenda sana kutoa, siku ya Sabato

4
Napenda sana kuomba, kwa Yesu, kwa Yesu, 
Napenda sana kuomba, siku ya Sabato

5
Napenda sana kujua, maneno ya Yesu, 
Napenda sana kujua, siku ya Sabato

6
Napenda sana kusema, Fungu la kariri, 
Napenda sana kusema, siku ya Sabato




  • -
    Title Nakupenda Sana Kufika
    Key
    Titles undefined
    First Line Napenda sana kufika, skuli ya Sabato
    Author
    Year
    Composer
    Hymnal -
    Tune
    Metrical pattern
    # Stanzas
    Chorus
    Chorus Type
    Subjects
    Texts
    Print Texts
    Scripture Song