Advent Hymnals

206. MWOKOZI WANGU ANIPENDA

Nyimbo Za Kristo,


1
Mwokozi wangu alinipenda, 
Maovu ayanitengi naye, 
Alijitoa, kuniponya, 
Sasa mimi wake. 

Chorus
Mimi wake kabisa, 
Naye Yesu wangu, 
Si kwa wakati huu tu, 
Bali na milele. 

2
Dhambi nilijidhili sana, 
Yesu akaja kunikomboa, 
Akanitoa sumbukoni, 
Sasa mimi wake. 

3
Furaha nyingi moyoni mwangu, 
Bwana Yesu kunifanya huru, 
Kunitwaa kwa damu yake, 
Sasa mimi wake.




  • -
    Title Mwokozi Wangu Anipenda
    Key
    Titles undefined
    First Line Mwokozi wangu alinipenda,
    Author
    Year
    Composer
    Hymnal -
    Tune
    Metrical pattern
    # Stanzas
    Chorus
    Chorus Type
    Subjects
    Texts
    Print Texts
    Scripture Song