Advent Hymnals
189. TUBATIZE UPYA
Nyimbo Za Kristo,
1
Mimina upya nguvu toka juu;
Tupe pendo lako, ewe Mwokozi.
Chorus
Twakusihi sana Yesu Mwokozi,
Tubatize upya, kwa Roho leo.
2
Kwako twalia, wenye maovu,
Osha moyo wetu, ututakase.
3
Kipaji cha juu, kitume kwetu,
Tubariki sasa, utufariji.
4
Isikilize, kwa moyo wazi,
Sauti ya Roho; ubarikiwe.
- Title Tubatize upya Key Titles undefined First Line Mimina upya nguvu toka juu; Author Year Composer Hymnal - Tune Metrical pattern # Stanzas Chorus Chorus Type Subjects Texts Print Texts Scripture Song