Advent Hymnals

182. HAPANA GIZA

Nyimbo Za Kristo,


1
Mchana hauishi Mjini mzuri;
Mji hautapita; Na hapana giza.

Chorus
Machozi yatafutwa, Kifo hapana pale; 
Hawahesabu siku, Na hapana giza.

2
Milango ni ya lulu, Mjini mzuri;
Dhahabu njia zake; Na hapana giza.

3
Milango haifungwi Mjini mzuri; 
Mto ni wa uzima Na hapana giza.

4
Hawahitaji jua Mjini mzuri, 
Mwana Kondoo nuru; Na hapana giza.




  • -
    Title Hapana Giza
    Key
    Titles undefined
    First Line Mchana hauishi Mjini mzuri;
    Author
    Year
    Composer
    Hymnal -
    Tune
    Metrical pattern
    # Stanzas
    Chorus
    Chorus Type
    Subjects
    Texts
    Print Texts
    Scripture Song