Advent Hymnals

178. UKINGONI MWA TORDANI

Nyimbo Za Kristo,


1
Ukingoni mwa Yordani ninaangalia 
Bara nzuri ya Kanaani, ninayotamani. 

Chorus
Tutakaa pamoja na Yesu, Katika pwani yenye raha; 
Tutaimba wimbo wa Musa na Kondoo, Milele hata milele.

2
Bara ile ina nuru, nuru ya milele;
Kristo, Jua, hutawala, hufukuza giza.

3
Nitapafikia lini na kubarikiwa,
Penye ufalme wa Baba, na kumwona uso?

4
Furaha yangu rohoni ni  kuchukuliwa;
Siyaogopi mawimbi katika Yordani.



  • -
    Title Ukingoni Mwa Tordani
    Key
    Titles undefined
    First Line Ukingoni mwa Yordani ninaangalia
    Author
    Year
    Composer
    Hymnal -
    Tune
    Metrical pattern
    # Stanzas
    Chorus
    Chorus Type
    Subjects
    Texts
    Print Texts
    Scripture Song