Advent Hymnals

180. PANA MAHALI PAZURI MNO

Nyimbo Za Kristo,


1
Pana mahali pazuri mno, Twapaona kwa mbali sasa; 
Baba yetu angoja pale, Amepanga makao yetu.

Chorus
Kitambo tu bado, Tutakutana ng`ambo pale. 
Kitambo tu bado, Tutakutana ng`ambo pale.

2
Tutaimba pale kwa moyo Nyimbo tamu za wenye heri. 
Na rohoni hatutaona Tena haja ya kupumzika.

3
Kwa baba yetu mkarimu Tutatoa shukrani sana. 
Kwa kipaji cha pendo lake Na baraka anazotupa.



  • -
    Title Pana Mahali Pazuri Mno
    Key
    Titles undefined
    First Line Pana mahali pazuri mno, Twapaona kwa mbali sasa;
    Author
    Year
    Composer
    Hymnal -
    Tune
    Metrical pattern
    # Stanzas
    Chorus
    Chorus Type
    Subjects
    Texts
    Print Texts
    Scripture Song