1Watakatifu kesheni, nguvu za mbingu zagonga; Washeni taa tayari kwa kurudi kwake Bwana.ChorusYuaja, Yesu Mfalme, Yuaja mwenye fahari, Yesu yuaja enzini Karibu Yesu, uje.2Piga mbiu, tangazeni habari ya ukombozi. Ya Mponya wa upendo nayo nguvu ya samaha.3Falme nyingi zaangushwa, Panda ya saba hulia; Tanga neema yake kabla ya kupita saa.4Mataifa yapotea, nchi zajaa uchungu: Kristo anaharakisha, Unabii unatimizwa.5Wenye dhambi njoni sasa Kristo awapatanishe, Mbio twaeni neema, kitambo muda waisha.