Advent Hymnals

128. TAAMINI NITII PIA

Nyimbo Za Kristo,


1
Namwandama Bwana kwa alilonena, Njia zangu huning`azia;
Na nikimridhisha atanidumisha, Taamini nitii pia. 

Chorus
Kuamini, Njiani pweke ni hii 
Ya furaha kwa Yesu: Amini ukatii.

2
Giza sina kwangu wala hata wingu,Yeye mara huviondoa;
Oga, wasiwasi, sononeko, basi; Huamini nitii pia. 

3
Masumbuko yote, sikitiko lote; Kwa mapenzi hunilipia;
Baa, dhara, dhiki, vivyo hubariki. Taamini nitii pia. 

4
Mimi sitajua raha sawasawa Ila yote Yesu kumtoa:
Napata fadhili na radhi kamili, Taamini nitii, pia. 

5
Nitamfurahia na kumtumaini, Majumbani na njia-njia; 
Agizo natenda; nikitumwa hwenda, Huamini, nitii pia






  • -
    Title Taamini Nitii Pia
    Key
    Titles undefined
    First Line Namwandama Bwana kwa alilonena, Njia zangu huning`azia;
    Author
    Year
    Composer
    Hymnal -
    Tune
    Metrical pattern
    # Stanzas
    Chorus
    Chorus Type
    Subjects
    Texts
    Print Texts
    Scripture Song