Advent Hymnals
116. MOYO SAFI
Nyimbo Za Kristo,
1
Bwana ninataka hili, kwa kuwa nimechafuka,
Kwa moto au kwa maji unisafishe kabisa.
Chorus
Unisafishe Mwokozi ndani, na nje, kwa moto
Utakavyo: ili dhambi ife kwangu, ife kwangu.
2
Kupewa hekima yote, itakuwa tunu kubwa;
Lakini moyo safi ni, bora kwangu, bora kwangu!
3
Mpaka moyo ni safi siwezi kuyafahamu
Mambo mazuri ya mbingu, mambo mazuri ya mbingu.
- Title Moyo Safi Key Titles undefined First Line Bwana ninataka hili, kwa kuwa nimechafuka, Author Year Composer Hymnal - Tune Metrical pattern # Stanzas Chorus Chorus Type Subjects Texts Print Texts Scripture Song