1Ukitafuta mali, Huna wasaa kwa Yesu?Kwa matendo ya haki Huna wasaa kwa Yesu?Anasa za dunia, Mambo yako ya rahaHaya unatafuta; Huna wasaa kwa Yesu? 2Mambo yanakusonga: Kwakehuna nafasi? Watekwa na dunia, Kwake huna nafasi?Humwona m-langoni, Anapopiga hodi?Daima hukusihi: Kwake huna nafasi? 3Sa-a ni za thamani, Kwake hamnayo kaziWala hamfanyi bidii, Kwake hamnayo kazi? Hamkufikia kwao Waliomo shimoniNa waliopotea? Kwake hamnayo kazi? 4Na wazaa majani tu? Huna tunda kwa Yesu?Mikono I mitupu, Huna tunda kwa Yesu?Huna chembe kwa ghala Kazi yako kulipa; Wala huna furaha Unapomwona Yesu?