Advent Hymnals

095. ZILETENI ZAKA KWA HAZINA

Nyimbo Za Kristo,


1
Sikieni neno la Mungu wetu, zileteni zaka kwa hazina
Leteni na mioyo yenu yote; mibaraka itakuja.

Chorus
Zileteni zaka kwa hazina, kanijaribu sasa nazo;
Nitakupeni mibaraka, zaidi ya nafasi ya kupewa.

2
Wakati Roho Mtakatifu kwako? Uzilete zaka kwa hazina
Ukae karibu na Bwana wako, ndipo utabarikiwa.

3
Je,una kasoro na Bwana wako? Uzilete zaka kwa hazina,
Uzilete kama alivyo sema, Ndipo utabarikiwa.

4
Ushukuru Bwana na moyo wote, unapo leta zaka ghalani;
Usadiki ahadi zake zote, ndipo utabarikiwa.

5
Tuimbe sote nyimbo za furaha, tunapoleta  zaka ghalani
Twimbe kabisa na furaha kubwa, kwani tutabarikiwa.



  • -
    Title Zileteni Zaka Kwa Hazina
    Key
    Titles undefined
    First Line Sikieni neno la Mungu wetu, zileteni zaka kwa hazina
    Author
    Year
    Composer
    Hymnal -
    Tune
    Metrical pattern
    # Stanzas
    Chorus
    Chorus Type
    Subjects
    Texts
    Print Texts
    Scripture Song