Advent Hymnals

087. SIKU YA SABATO

Nyimbo Za Kristo,


1
Siku ya Sabato, siku takatifu, 
Watu wako Mungu wetu, waipenda sana. 

2
Ulitakasa, uliibariki, 
Siku hiyo ya Sabato, siku yako Bwana. 

3
Nasi tubariki tukikuabudu, 
Katika siku ya raha, siku yako Bwana. 

4
Halafu mbinguni, pamoja na Wewe. 
Tunataka kuzishika Sabato za Bwana. 




  • -
    Title Siku Ya Sabato
    Key
    Titles undefined
    First Line Siku ya Sabato, siku takatifu,
    Author
    Year
    Composer
    Hymnal -
    Tune
    Metrical pattern
    # Stanzas
    Chorus
    Chorus Type
    Subjects
    Texts
    Print Texts
    Scripture Song