Advent Hymnals

079. NATAKA IMANI HII

Nyimbo Za Kristo,


1
Nataka Imani hii: Imani imara,
Ambayo haitetemi Kitu chote 
Wakati wa shida, 
Wakati wa shida. 

2
Isiyonung`unika Huzuni, taabu; 
Lakini katika saa ya matata 
Humwamini Mungu, 
Humwamini Mungu. 

3
Imani inayo ng`aa katika tufani; 
Isiyoogopa giza, wala shida, 
Njaa na Hatari, 
Njaa na hatari. 

4
Haiogopi dunia, Kudharau kwake; 
Haiangushwi na hila, na uwongo 
Dhambi na ogofyo, 
Dhambi na ogofyo. 

5
Bwana, nipe imani hii, Hivi nitaweza 
Kuonja hapa chini ulimwenguni, 
Kurithi furaha, 
Kurithi furaha.



  • -
    Title Nataka Imani Hii
    Key
    Titles undefined
    First Line Nataka Imani hii: Imani imara,
    Author
    Year
    Composer
    Hymnal -
    Tune
    Metrical pattern
    # Stanzas
    Chorus
    Chorus Type
    Subjects
    Texts
    Print Texts
    Scripture Song