Advent Hymnals

078. MPAKA LINI BWANA

Nyimbo Za Kristo,


1
Mpaka lini Bwana, Utakaa mbali?
Kumetuchosha moyo kukawia hivi.
Utatujia lini, Ili tufurahi
Katika ile nuru, kuja kutukufu?

2
Mpaka lini Yesu, Utaacha watu
Uliowakomboa, Wawe na mashaka?
Wachache waamini, Kwamba utarudi;
Wachache wa tayari, Bwana kukulaki.

3
Waamshe watu wako, Tangaza kilio:
"Mwe watakatifu, Bwanayu karibu!"
Utatujia lini, Ili tufurahi
Katika ile nuru, Kutukufu?




  • -
    Title Mpaka Lini Bwana
    Key
    Titles undefined
    First Line Mpaka lini Bwana, Utakaa mbali?
    Author
    Year
    Composer
    Hymnal -
    Tune
    Metrical pattern
    # Stanzas
    Chorus
    Chorus Type
    Subjects
    Texts
    Print Texts
    Scripture Song