Advent Hymnals

072. JENGA JUU YA MWAMBA

Nyimbo Za Kristo,


1
Tuta jenga juu ya Mwamba Wa Yesu, Mwaba wa kale;
Tutavumilia kishindo Tufani ivumapo.

Chorus
Tuta jenga juu, ( tutajenga juu ya Mwamba mkuu)
Tuta jenga juu, ( tutajenga juu ya Mwamba mkuu)
Tutajenga juu ya Mwamba mkuu, Juu yake yesu.

2
Wengine hujenga katika Mchanga wa ulimwengu;
Wengine katika mawimbi Ya anasa za dhambi.

3
Jenga nawe juu ya mwamba, Msingi pekee wa kweli:
Tumai lake litadumu, Tumai la wokovu.




  • -
    Title Jenga Juu Ya Mwamba
    Key
    Titles undefined
    First Line Tuta jenga juu ya Mwamba Wa Yesu, Mwaba wa kale;
    Author
    Year
    Composer
    Hymnal -
    Tune
    Metrical pattern
    # Stanzas
    Chorus
    Chorus Type
    Subjects
    Texts
    Print Texts
    Scripture Song