Advent Hymnals
070. WAPENZI WA BWANA
Nyimbo Za Kristo,
1
Wapenzi wa Bwana ije raha yenu! Imbeni nyimbo za raha,
Imbeni nyimbo za raha; Za ibada yenu, za ibada yenu.
Chorus
Twenenda Zayuni, mji mzuri Zayuni!
Twenenda juu Zayuni, Ni maskani ya Mungu.
2
Wasiimbe wao wasioamini, Watoto wa Mungu ndio,
Watoto wa Mungu ndio, Waimbao chini, waimbao chini,
3
Twaona rohoni baraka za Mungu, Tusijafika mbinguni,
Tusijafika mbinguni, Kwenye utukufu, kwenye utukufu.
4
Tutakapomwona masumbuko basi, Huwa maji ya uzima,
Huwa maji ya uzima,Anasa halisi, anasa halisi.
- Title Wapenzi Wa Bwana Key Titles undefined First Line Wapenzi wa Bwana ije raha yenu! Imbeni nyimbo za raha, Author Year Composer Hymnal - Tune Metrical pattern # Stanzas Chorus Chorus Type Subjects Texts Print Texts Scripture Song