Advent Hymnals

062. NAPENDA KITABU CHAKE

Nyimbo Za Kristo,


1
Napenda kitabu chake, kilichotoka mbinguni,
Barua kwangu ya Bwana Ujumbe wake wa`pendo.

2
Humo ndani ya kitabu Sura ya Yesu naona;
Karatasi zimekuwa, Wayo zake za Mwongozi.

3
Mapenzi yake Mwumbaji, Kubwe la asali tamu;
Natamani kuuonja, Ule mkate wa uzima.

4
Mapenzi Yake Mwumbaji, Yanafunuliwa humo;
Hazina kuu ya hekima, Utajiri wa ajabu.

5
Mwangaza wa ulimwengu Angaza humo moyoni!
Uwe mwandamizi pote, Taa ya hatua zangu.



  • -
    Title Napenda Kitabu Chake
    Key
    Titles undefined
    First Line Napenda kitabu chake, kilichotoka mbinguni,
    Author
    Year
    Composer
    Hymnal -
    Tune
    Metrical pattern
    # Stanzas
    Chorus
    Chorus Type
    Subjects
    Texts
    Print Texts
    Scripture Song