Advent Hymnals

061. BWANA NAMI

Nyimbo Za Kristo,


1
Nimemwona rafiki wa thamani kubwa,
Ananipenda kwa ‘pole, kwa pendo amini:
Kuishi kute ngwa naye, la, huki siwezi,
Tunakaa pamoja: Bwana nami.

2
Pengine nimechoka,  mimi mdhaifu,
Ndipo ninamtegemea, alivyoalika;
Huniongoza njiani, pahali pa nuru,
Twatembea pamoja: Bwana nami.

3
Namweleza huzuni, na fura ha yangu,
Vile ninavyosumbua, vinavyopendeza;
Huniagiza kutenda, yanayonipasa,
Twazungumza pamoja: Bwana nami.

4
Ajua natamani, kuwavuta watu,
Hivyo ananipeleka, kutangaza Neno;
Nitangaze pendo lak, kwa niniakafa;
Twahubiri pamoja: Bwana nami.



  • -
    Title Bwana Nami
    Key
    Titles undefined
    First Line Nimemwona rafiki wa thamani kubwa,
    Author
    Year
    Composer
    Hymnal -
    Tune
    Metrical pattern
    # Stanzas
    Chorus
    Chorus Type
    Subjects
    Texts
    Print Texts
    Scripture Song