Advent Hymnals

058. ZITAKUWA NYOTA TAJINI

Nyimbo Za Kristo,

1
Leo nina fikiria nchi nzuri Ninayotaka kuiona;
Nisimamapo karibu na Mwokozi, Tajini zitakuwa nyota?

Chorus
Sijui tajini mwangu kama nyota 
Zitang`aa kila wakati!
Nitakapoamka katika majumba
Zitakuwa nyota Tajini?  

2
Kwa nguvu za Bwana nitafanya kazi, Nitavuta roho za watu,
Ili niwe na nyota katika taji, Bwana anapotupa tunu.

3
Nitakuwa na furaha nikimwona, Kuweka miguuni pake
Watu walio vutwa kwa ajili ya Kazi yangu na Roho yake.





  • -
    Title Zitakuwa Nyota Tajini
    Key
    Titles undefined
    First Line Leo nina fikiria nchi nzuri Ninayotaka kuiona;
    Author
    Year
    Composer
    Hymnal -
    Tune
    Metrical pattern
    # Stanzas
    Chorus
    Chorus Type
    Subjects
    Texts
    Print Texts
    Scripture Song