Advent Hymnals

056. WAPONNYE WATU

Nyimbo Za Kristo,


1
Walio kifoni, nenda waponye. Uwatoe walio shimoni;
Wanaoanguka uwainue; Habari njema uwajulishe.

Chorus
Walio kifoni waokoeni, Mwokozi yuko huwangojea

2
Wajapokawia anangojea Awasubiri waje tobani;
Mwokozi hawezi kuwadharau, Huwasame he tangu zamani:

3
Na ndani ya moyo wa wanadamu Huwapo shida, tena huzuni;
Lakini kwa Yesu kuna rehema Kuwaponya na kuwaokoa.

4
Walio kifoni, nenda waponye Kazi ni  yetu, zawadi iko;
Nguvu kuhubiri Bwana hutoa Kwa subira tuwavute sasa.





  • -
    Title Waponnye Watu
    Key
    Titles undefined
    First Line Walio kifoni, nenda waponye. Uwatoe walio shimoni;
    Author
    Year
    Composer
    Hymnal -
    Tune
    Metrical pattern
    # Stanzas
    Chorus
    Chorus Type
    Subjects
    Texts
    Print Texts
    Scripture Song