1Pengine sio milimani UtakaponiitaPengine sio baharini Wala palipo vita;Lakini unaponiita, Na njia siijui.Bwana, nitajibu, ni tayari Kwanda uniagizapo.ChorusUkiwa pamoja nami, Bwana, Mlimani, baharini,Niende utakaponiita; Na fuata uendako.2Pengine leo kuna neno, Neno tamu la pendo,Ambalo Yesu anataka Ninene kwa upole;Ukiwa pamoja nami, Bwana, Nitamtafuta leoYele aliyepotea mbali: Nitasema upendavyo3Pahali pako bila shaka Pa kuvuna shambnani,Kazi niwezayo kufanya Kwa Yesu Mkombozi;Hivi nikikutegemea, Kwa kuwa wanipenda,Mapenzi yako nitafanya, Na niwe upendavyo.