Advent Hymnals

051. KUWA NA YESU MWOKOZI

Nyimbo Za Kristo,

1
Yesu Mwokozi, kwa hakika, Hjinipa furaha na amani;
Mrithi wa wokovu wake, Natakaswa kwa damu yake.

Chorus
Habari hiyo wimbo wangu, Daima nitamsifu Yesu.
Habari hiyo wimbo wangu, Daima nitamsifu Yesu.

2   
Nijitoapo nina raha, Na kwa imani namwona Bwana;
Aniletea malaika, Wananilinda, niiokoke.

3   
Hali na mali anitwaa, Katika Yesu nabarikiwa;
Nikimgoja kwa subira, Wema wake unanitosha. 


  • -
    Title Kuwa Na Yesu Mwokozi
    Key
    Titles undefined
    First Line Yesu Mwokozi, kwa hakika, Hjinipa furaha na amani;
    Author
    Year
    Composer
    Hymnal -
    Tune
    Metrical pattern
    # Stanzas
    Chorus
    Chorus Type
    Subjects
    Texts
    Print Texts
    Scripture Song