Advent Hymnals
044. URAFIKI WA YESU
Nyimbo Za Kristo,
1
Hakuna rafiki kama Yesu, Hakuna, hakuna!
Tabibu mwingine wa rohoni, Hakuna, hakuna!
Chorus
Yesu ajua shida zetu; Daima ataongoza
Hakuna rafiki kama Yesu, Hakuna, hakuna!
2
Wakati ambapo hapo yeye, Hapana, hapana!
Wala giza kututenga naye, Hapana, hapana!
3
Aliye sahauliwa naye, Hakuna, hakuna!
Mkosaji asiyempenda, Hakuna, hakuna!
4
Kipawa kama Mwokozi wetu, Hakuna, hakuna!
Ambaye atanyimwa wokovu, Hakuna, hakuna!
- Title Urafiki Wa Yesu Key Titles undefined First Line Hakuna rafiki kama Yesu, Hakuna, hakuna! Author Year Composer Hymnal - Tune Metrical pattern # Stanzas Chorus Chorus Type Subjects Texts Print Texts Scripture Song