Advent Hymnals

045. MWANGA UMO MOYONI

Nyimbo Za Kristo,


1
Mlimani pana mwanga, Mwanga wa jua zuri
Shambani na baharini Jua tukufu liko;
Mwanga uliyo mkubwa Umo moyoni mwangu,
Kwa kuwa Yesu alipo Hapa pana mwangaza.

Chorus
Mwangaza ulio mzuri. Mwanga umo moyoni;
Akiwapo Bwana Yesu Pana mwanga moyoni.

2
Kama mavazi kikuu, Ninavua huzuni:
Nguo nzuri za kuvaa, Umenipa za kuvaa.
Nakuandama rohoni Hatanyumba ya juu
Iliyopambwa vizuri Katika pendo lako.

3
Ulinikomboa Yesu; Maisha yangu, mali,   
Vyote nivyako, Mwokozi Daima nikusifu.
Nakuandama rohoni Hatanyumba ya juu
Iliyopambwa vizuri Katika pendo lako.



  • -
    Title Mwanga Umo Moyoni
    Key
    Titles undefined
    First Line Mlimani pana mwanga, Mwanga wa jua zuri
    Author
    Year
    Composer
    Hymnal -
    Tune
    Metrical pattern
    # Stanzas
    Chorus
    Chorus Type
    Subjects
    Texts
    Print Texts
    Scripture Song