Advent Hymnals

050. MUNGU NAWE NANYI DAIMA

Nyimbo Za Kristo,


1
Mungu nawe nanyi daima; hata twonane ya pili,
Awachunge kwa fadhili, Mungu nawe nanyi daima.


Chorus
Hata twonane juu, hata twonane tena kwake;
Hata twonane juu, Mungu nawe nanyi daima.

2
Mungu nawe nanyi daima; awafunike mabawa,
Awalishe, awakuze; Mungu nawe nanyi daima.

3
Mungu nawe nanyi daima; kila wakati wa shida
Awalinde hifadhini; Mungu nawe nanyi daima.

4
Mungu nawe nanyi daima; awabariki na pendo
Ambalo halina mwisho; Mungu nawe nanyi daima. 







  • -
    Title Mungu Nawe Nanyi Daima
    Key
    Titles undefined
    First Line Mungu nawe nanyi daima; hata twonane ya pili,
    Author
    Year
    Composer
    Hymnal -
    Tune
    Metrical pattern
    # Stanzas
    Chorus
    Chorus Type
    Subjects
    Texts
    Print Texts
    Scripture Song