Advent Hymnals
038. NASIFU SHANI YA MUNGU
Nyimbo Za Kristo,
1
Nasifu shani ya Mungu, mweneza bahari,
Muumba pia wa mbingu, jua, nyota, mwezi,
Ni tukufu yako shani, mtengeza mambo
Ya nyakati na zamani, yasiyo na mwisho.
2
Kadri ya nionayo, ya kusifu Mungu;
Nchi niikanyagayo, na hayo mawingu;
Hakuna hata unyasi, usiokuza;
Na upepo wavumisha, au kutuliza.
3
Nami kwa mkono wako, naongozwa sawa,
Ni pato nikusifupokukwomba ni dawa;
Umenizingira nyuma, na mbele baraka;
Maarifa ya ajabu! Yanishinda mimi!
- Title Nasifu Shani Ya Mungu Key Titles undefined First Line Nasifu shani ya Mungu, mweneza bahari, Author Year Composer Hymnal - Tune Metrical pattern # Stanzas Chorus Chorus Type Subjects Texts Print Texts Scripture Song