Advent Hymnals

023. YESU FURAHA YA MOYO

Nyimbo Za Kristo,


1
Yesu, furaha ya moyo!Hazina ya pendo, na nuru.
Yote yatupendezayo, yasilinganishwe nawe.

2
Kweli yako ya daima, wawajibu wakuitao,
Ni siku zote u mwema kwao wakutafutao.

3
U Mkate wa uzima, kupokea ni baraka,
Twanywa kwako u kisima roho zikiburudika.

4
Mwokozi twakutamani, kwako roho hutulia;
Twakushika kwa imani, nawe watubariki.

5
Yesu, ndiwe kwetu mwanga, tufurahishe daima;
Giza ya dhambi fukuza uwe mwanga wa uzima.


  • -
    Title Yesu Furaha Ya Moyo
    Key
    Titles undefined
    First Line Yesu, furaha ya moyo!Hazina ya pendo, na nuru.
    Author
    Year
    Composer
    Hymnal -
    Tune
    Metrical pattern
    # Stanzas
    Chorus
    Chorus Type
    Subjects
    Texts
    Print Texts
    Scripture Song