1Taji mvikeni Taji nyingisana, kondoo mwake Kitini,Bwana wa mabwana; Nami tamsifu Alikufa kwangu,Ni mfalme mtukufu, Seyidi wa mbingu.2Taji mvikeni Mwanawa bikira; Anazovaa kicwaniAliteka nyara; Shilo wa manabii Mchunga wa watuShina na tanzu vya Yese Wa Bethilehemu.3Taji mvikeni Bwana wa mapenzi; Jeraha zake nishaniNi vito vya enzi, Mbingu haina Hta malaikaAwezaye kuziona pasipo kushangaa!4Taji mvikeni Bwana wa Salama; Kote-kote dunianiVita vitakoma; Nayo enzi yake Itaendelea,Chini ya miguu yake, Maua humea.