Advent Hymnals
024. JINA LAKE YESU TAMU
Nyimbo Za Kristo,
1
Jina lake Yesu tamu Tukilisikia,
Hutupoza, tena hamu Hutuondolea,
2
Roho iliyo umia kwalom hutibika,
Chakula, njaani pia; Raha, tukichoka.
3
Jina hili nimsingi, Ngao, Ngoma,
Mwamba, Kwa hili napata ungi, kwangu ni akiba.
4
Yesu, Mchunga, Rafiki, Mwalimu,
Kuhani, Mwanzo, Mwisho, na Amana, Mali yangu yote!
5
Moyo wangu hauwezi kukusifu kweli;
Ila sifa zangu hizi, Bwana, zikubali.
- Title Jina Lake Yesu Tamu Key Titles undefined First Line Jina lake Yesu tamu Tukilisikia, Author Year Composer Hymnal - Tune Metrical pattern # Stanzas Chorus Chorus Type Subjects Texts Print Texts Scripture Song