1Jina la Yesu, salamu! Lisujidieni,Ninyi mbinguni, hukumu, Na enzi mpeniNinyi mbinguni, hukumu, Na enzi mpeni2Enzi na apewe kwenu, watetea dini;Mkuzeni Bwana wenu, Na enzi mpeniMkuzeni Bwana wenu, Na enzi mpeni3Enyi mbegu ya rehema nanyi msifu;Mmeponywa kwa neema, Na enzi mpeniMmeponywa kwa neema, Na enzi mpeni4Wenye dhambi kumbukeni ya msalabaniKwa furaha msifuni, Na enzi mpeniKwa furaha msifuni, Na enzi mpeni.5Kila mtu duniani msujudieniKote-kote msifuni, Na enzi mpeniKote-kote msifuni, Na enzi mpeni.6Sisi na wao pamoja tu mumo sifani.Milele sifa ni moja, na `mpeni`Milele sifa ni moja, na `enzi mpeni`