edit
1 Omba sana asubuhi, Omba sana mchana, Omba sana na jioni, Bwana hutusikia. 2 Mungu hujibu maombi, Asubuhi na mchana, Hata hutungojea tena, Wakati wa jioni. 3 Na tuimbe asubuhi. Tena saa za mchana. Hivi tutafurahi Naye. Pumziko la jioni.