nyimbo-za-kristo-v4
12. Msifu Mungu
edit
Msifu Mungu wa neema,
Enyi viumbe popote;
Wa juu pia sifuni
Baba, Mwana naye Roho!