edit
1 Kumekucha kwa uzuri. Nafumbua macho; Baba amenihifadhi, Ni wake moto. 2 Bwana niwe leo kutwa, Ulinzini mwako; Nisamehe dhambi, niwe Mikononi mwako. 3 Roho wako anikae, Moyoni daima; Anitakase, nione Uso wako mwema.